Sehemu ya mgahawa huo ukiwa na dimbwi la damu baada ya mlipuko
Baadhi ya majeruhi wa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana jijini Arusha wakiwa hospitali.
WATU
nane, wengi wao wakiwa ni wa asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa
vibaya kwa bomu lililotupwa kwenye mgahawa uliopo eneo la Gymkhana
jijini Arusha usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Wananchi likishirikiana na
Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.
No comments:
Post a Comment