Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.
...Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.
...Msanii aliekuwa akicheza
filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa
Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana
huu.
...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
Credits to Global Publishers
No comments:
Post a Comment