Friday, August 8, 2014

MISIFA YAMPONZA EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS FM, ABEBWA MZOBE MZOBE NA POLISI..... ATINGA LUPANGO

 Hapo ni maeneo ya Ubungo, Kibonde alikua maji (kalewa) kwahiyo katika kuendesha gari kagonga gari ya mbele yake nyuma. Basi kumbe ile gari ya mbele alikua akiendesha tajari wa Kizungu. Kibonde kuona hivyo katoka ndani ya gari ametuna akaanza kumpa shit mzungu na kuanza kumsukuma sukuma. Alijua kwa vile ni mzungu hana haki tena Tanzania. Mzungu mwenyewe huyo ni giant kama Goliati wa kwenye Bible, Kibonde na Traffic walikua kama mbilikimo tu au emolo wale wacheza shoo wa marehemu Pepe Kalle. Ilibidi Kibonde abebwe mzobemzobe hadi kwenye daladala na kupelekwa kituo cha Geshi la PoLish. Aliwaletea fujo traffic pia, hapo Tanganyika jeki ikatumika haraka kumbeba ili kurejesha amani.

 Ephrain Kibonde katika ubora wake

No comments:

Post a Comment