Tuesday, July 8, 2014

TAZAMA JINSI THE LEGEND DIAMOND ALIVYOFANYA KUFURU KWENYE BIRTHDAY YA MAMA YAKE

Mama Diamond Bi Sanura akimlisha keki 'mkwewe' Wema Sepetu katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika jana.

 Keki iliyotolewa oda na Diamond iliyoandikwa ujumbe wake maalum.

 Mama Diamond akikata keki maalum jana.

 Mwandishi maarufu wa magazeti ya Ijumaa, Risasi, Amani, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi Mchanganyiko na Championi, Shakoor Jongo a.k.a Zungu Fedha akilishwa keki na mama Diamond jana.

 Profesa Jay akiwasili eneo la tukio huku akikaribishwa na meneja wa Diamond,  Babu Tale na wenzake

 Babu Tale akimtania Profesa Jay jana.

 Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakiswali sala ya magharibi kabla hawajaanza kufuturu.

 Said Fella 'Mkubwa'akiongoza wageni waalikwa kwenda kuchukuwa futari, nyuma yake ni Madee

 Madee na Fela (kulia) wakifuturu.

 Wema na Aunty Ezekiel wakimimina juisi kwenye glasi kwa ajili ya kuwapelekea watu wanywe.

 Dada wa Diamond Esma akimkumbatia wifi yake, Wema Sepetu.

 Meneja wa Wema Sepetu Martini Kadinda (mwenye kanzu) akifuturu pembeni yake ni Fred wa Kundi la Makomando.

 Mfanyabiashara maarufu Dotnata (kushoto) akiwa na ndugu yake wakifuturu.

 Mtangazaji wa Star Tv,  Sauda Mwilima naye akifuturu.

 Wema na Lady Naa.

 Mtunisi naye alikuwepo.

 Mama Diamond akilia huku kichwa kikiwa juu ya gari aliyopewa zawadi na mwanaye.

 Kilio kikiendelea.

 Mama Diamond akiwa ndani ya gari aliyopewa zawadi.

 Wema akifungua shampeini.

 Wema na mama mkwe wake.

 Gari yenyewe ikionekana kwa mbele.

 Aunty Ezekiel akichezea kitambi cha mwandishi Shakoor Jongo baada ya kushiba futari iliyofanya  tumbo kuonekana limetuna.

No comments:

Post a Comment