Wednesday, May 7, 2014

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA PRINCESS MURO, MIKUMI

BASI LA KAMPUNI YA PRINCESS MURO LIMEPATA AJALI NA KUPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI MUDA MFUPI ULIOPITA, ABIRIA KADHAA WAMEJERUHIWA.

TAZAMA PICHA HAPO CHINI






Abiria wakiwa hawajui la kufanya baada ya ajali hiyo.


Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.









Mpaka lini ajali za barabarani zitaendelea kujeruhi na kukatisha maisha ya watanzania wasio na hatia?

No comments:

Post a Comment