Basi la Super Najmunisa pichani, lililokuwa likisafiri kutoka Mwanza kuelekea Dar Es Salaam limepata ajali mbaya baada ya gurudumu la mbele kupasuka na kusababisha basi hilo kupinduka. Hakuna taarifa ya kifo ingawa kuna uwezekano wa kuwepo na majeruhi kadhaa wa ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment