Friday, June 13, 2014

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MIAEZI MITATU.

Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy Kamili Pichani  amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu.
Taarifa Kamili inakuja 

Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

No comments:

Post a Comment