Wednesday, June 4, 2014

MKALI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATINUMZ AMMWAGIA MISIFA JK

Diamond akiwa na rais Jakaya Kikwete nchini Marekani hivi karibuni.


[Where will you get a President who sacrifices his precious time that almost everyone of us wishes to have and uses that time to help you meet and get connections with one of the biggest Music supporters in the Planet inorder to just make sure you reach and achieve your goals... What more can I say other than A big Thank you to Mr.President... God keep showering you with endless blessings and stand by you throughout your ruling...]

[Wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa Thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani..akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na Mdau mkubwa Duniani katikaa tasnia uliyopo, ili kuhakikisha tu Unafikia Malengo na Ndoto ya kazi zako.... Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusmamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako...]
 
Haya ndiyo aliyoandika Diamond katika ukurasa wake wa Facebook

No comments:

Post a Comment