Saturday, June 14, 2014

MICHUANO WORLD CUP BRAZIL, ITALY YAICHABANGA UINGEREZA 2-1

Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England jana usiku.

 Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuisawazishia England katika dakika ya 37.

 Wachezaji wa Italia wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Claudio Marchisio (jezi namba 8 kulia)

 Hekaheka wakati wa mtanange huo.

 KIKOSI cha England kimeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil baada ya kupokea kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Italia jana usiku. Katika mechi hiyo ya kundi D wafungaji wa Italia: Marchisio 35, Balotelli 50 na England Sturridge 37.

No comments:

Post a Comment