Hapa ndipo mwili wa Marehemu
George Tyson ulipozikwa mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini
Kenya.George Tyson ambaye alikuwa ni mmoja wa Waongozaji filamu mahiri
hapa nchini Tanzania,alifarika kwa ajali ya gari wakati akitokea mkoani
Dodoma kikazi akirejea jijini Dar.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali
pema peponi.Amin.
Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
Ndugu na jamaa mbalimbali
wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Marehemu George Tysombani
kwako,katika kijiji cha Siaya nchini Kenya.
Baadhi ya Ndgu na Jamaa
mbalimbali wakiwa kwenye maombolezo ya mwisho ya mazishi ya marehemu
George Tyson mapema leo mchana,nyumbani kwao
Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
Mdau Felix akizungumza jambo
na kuwashukuru Watanzania wote na wengineo walioshiriki kwa namna moja
ama nyingine katika kuhakikisha mpendwa wao,ambaye Mwenyezi Mungu
kampenda zaida anaenda kuishi kwenye nyumba yake ya milele.
Watoto wa marehemu George Tyson wakiwa katika picha ya pamoja.
Nyumba ya milele ya marehemu
George Tyson kabla ya kulazwa.Picha kwa hisani kubwa ya Mdau William
Mtitu kutoka kijiji cha Siaya,nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment