Wednesday, June 11, 2014

MAJANGA: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA KARUME DAR

Moto mkubwa unateketeza mabanda ya soko la Karume, Dar Es Salaam

Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata.
Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.

Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.

Nguzo za umeme zinaungua pia. 


No comments:

Post a Comment