Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa
kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi
hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo
marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga
kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.
No comments:
Post a Comment