Wednesday, June 11, 2014

MAHABA NIPOTEZE: BOYFRIEND WA SHILOLE AJICHORA TATOO ZA JINA LA SHILOLE.... TAZAMA MAPICHAZZZ


Nuhu Mziwanda akiwa na mpenzi wake Zuwena Mohamed 'Shilole'.

 Nuhu Mziwanda akiwa amejichora Tattoo yenye jina la mpenzi wake, Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby’.


Juzi, Nuhu Mziwanda alipost picha kwenye Instagram ikionesha Tattoo aliyochora yenye jina la mpenzi wake Shilole ikiwa imeandikwa ‘ShiShiBaby.
Mziwanda alieleza kuwa tattoo aliyochora ni ya kudumu katika kipindi chote atakachokuwa duniani na kwamba haitafutika mpaka siku anaingia kaburini.
Kwa upande wa Shilole, alipost picha hiyo kwenye Instagram na kuandika ujumbe wa kumshukuru mpenzi wake. “Thanx my lv 4 dis! Umeonesha lv ya ukweli”

No comments:

Post a Comment