Mwanamuziki Lil Kim.
MWANAMUZIKI Lil Kim amejifungua mtoto wake wa kwanza ambaye ni wa kike
na kumuita jina Royal Reign. Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 39
alijifungua mtoto huyo katika Kituo cha Afya kilichopo Chuo Kikuu cha
Hackensack, New Jersey. Kim hajaweka wazi kuhusu baba wa mtoto huyo,
japo inadaiwa ni rappa wa New York aitwaye Mr. Papers.
No comments:
Post a Comment