Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’
Kabla ya tukio hilo, awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye bifu baada ya kudaiwa walikuwa wanamgombea pedeshee mmoja wa mjini, kila mmoja akijipa uhalali wa kumilikiwa.
Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo kinasema, wadada hao walikuwa wakirekodi sinema ambayo haijajulikana jina lake.
“Ni kweli walikuwa wakirekodi filamu, lakini kuna muda walizinguana ila watu wanasema bado wanakasirikiana kutokana na ile ishu ya kunyang’anyana mwanaume.
Mshiriki wa Miss Tanzania, 2011/2012 Husna Maulid
Joti alipotakiwa kuzungumzia ishu hiyo, alikiri kutokea lakini kwenye kurekodi filamu huku akikataa kufafanua.
“We’ jua kuwa ilikuwa filamu, si ugomvi serious,” alisema Joti.
Lulu hakupatikana kuzungumzia ishu hiyo lakini Husna alipopatikana alisema: “Tulitofautiana kikawaida tu kama wanawake lakini hatukufika kwenye mambo ya kupigana.”
No comments:
Post a Comment