HUYU NDIO BILIONEA REGINALD MENGI, KUTOKA MTEMBEA PEKU MPAKA BILIONEA WA KUTUPWA
Penye nia pana njia, fikiri, panga
mikakati na utafaikiwa. Mzee Mengi hakuzaliwa katika familia tajiri.
Alizaliwa katika familia ya mtoto kutembea pekupeku, hata kuvaa ndala ni
anasa, lakini leo hii ni Bilionea. BIG UP Mzee, unaonesha njia...!
No comments:
Post a Comment