Saturday, June 21, 2014

HIVI NDIVYO DALADALA ILIVYOTOA ROHO ZA WANANCHI WEMA LEO DAR

Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo

 ...Daladala hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali

 Baadhi ya miili ikiwa kwenye gari Hospitali ya Lugalo.

 Mzee aliyefiwa na mwanae akilia kwa uchungu.

No comments:

Post a Comment