Mama yake Wema Sepetu
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu
"Dah...! Sijui hata niseme nini...! Ila si mlitaka kuniumiza... leo
mmefanikiwa... nawapeni hongera.... Tena mmetisha haswa... Kila sjku
huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu...
Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo... I min mnitukane mimi mpaka
mchoke but leave my mum out of it... Kawakosea nini nyinyi mama angu
mpaka mfanye hivyo... Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu...
mnataka afe na yeye nibaki yatima sio... dah... leo
mmeniweza... saana jamani... Basi naomba isifike huko... nina uchungu
sana na mama angu ... nampenda sana mama angu ila naona mnataka kuniulia
mama angu... Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie
hivyo mama wa mwenzako... una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu
wa mama... dah... nime surrender leo.... hongera zenu narudia tena...
mmeniweza leo.... dah... Mungu nipe nguvu ktk hili jamani... Kwani
nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe hivi . Nimekosa nini mimi
yarabi toba.... Eeeh mungu... Dah... Ila nashkuru...
No comments:
Post a Comment