Mwanamuziki Bora wa Kiume, David Adedeji Adeleke 'Davido'
Katika kipengele Mwanamuziki Bora wa Kiume nominees walikuwa ni Anselmo
Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria), Donald (Afrika Kusini) , Wizkid
(Nigeria) na Diamond Platnumz (Tanzania) ambapo mshindi alikuwa ni
Davido kutoka Nigeria.
Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.
Tuzo ya Best Collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ
Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa sapoti kwenye mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment