Saturday, June 7, 2014

RAIS JACOB ZUMA ALAZWA HOSPITALINI

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi yake. Taarifa hiyo ilisema kuwa Zuma atalazimika kumpumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu yake ya kitaifa akiwa nyumbani.
 “Hapo jana Ijumaa Rais Zuma alishauriwa kupumzika hasa baada ya msimu wa uchaguzi kukamilika wiki chache zilizopita.

Madaktari hawajaeleza wasiwasi wowote kuhusu afya yake".

CHANZO BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment