ONA JINSI DIAMOND PLATINUMZ NA MY BABY WAKE WEMA SEPETU WALIVYOFUNIKA RED CARPET YA MTV
Diamond na Wema wakipiga picha
za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban
South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo
match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB!
No comments:
Post a Comment