Kila inapofika kipindi cha bunge la bajeti machangudoa humiminika kwa wingi mjini Dodoma ili kusaka waheshimiwa wabunge pamoja na watumishi wengine wa wizara mbalimbali wanaokuwa mjini hapa kwa ajili ya kufuatilia mijadala ya bajeti za wizara zao.
Je kwa hali hii UKIMWI utaisha kweli
No comments:
Post a Comment