Friday, May 16, 2014

MWANAMUZIKI AMINA NGALUMA HATUNAYE TENA.... PUMZIKA KWA AMANI

Mwanamuziki wa dansi Amina Ngaluma enzi za uhai wake.

MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

No comments:

Post a Comment