BREAKING NEEEEWS: MAJANGA, BOMU JINGINE LALIPUKA NA KUUA WANNE NAIROBI.......
WATU wanne
wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya
milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi,
Kenya. Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la abiria 'matatu' wakati
wa pili ukitokea katika soko la Gikomba.
No comments:
Post a Comment