Sunday, May 18, 2014

KANGA MOJA LAKI SI PESA WAENDELEA KUPAGAWISHA MASHABIKI NCHINI.... TAZAMA HAPA LIVEEEE!!!!!!!!!!!

Pamoja na kuonekana kufanya kile kilicho kinyume na maadili ya kitanzania lakini kundi la Kanga Moja linaonekana kuendelea kupendwa na mashabiki wa burudani sehemu mbalimbali nchini. Hizi ni baadhi ya picha za matukio tofauti ya burudani za kundi hilo.










No comments:

Post a Comment