Wednesday, May 21, 2014

CHADEMA WATAKA RASIMU YA KATIBA IHESHIMIWE

Mkurugenzi wa mafunzo na Oganaizesheni wa Chadema, Single Benson Kigaila.

Viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema wameendelea kusisitiza Kuheshimiwa kwa mapendekezo yaliyopo katika rasimu ya mapendekezo ya katiba kwa kuwa mapendekezo hayo yametolewa na wananchi na iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba na imewasilishwa maoni ya wananchi na sio ya chama chochote cha siasa.Viongozi hao wa Chadema wameyasema hayo temeke jijini Dar es salaam katika Mwendelezo wa vikao vya uhamasishaji wa masuala mbalimbali ikiwemo rasimu ya Katiba mpya

No comments:

Post a Comment