Mfuko wa akiba wa GEPF umesema baaada ya bunge la jamhuri kupitisha
sheria mpya ya mfuko huo utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu
kulipa mafao ya muda mrefu huku mfuko huo ukifikisha thamani ya shilingi
bilioni 198.38 ukiwa na wanachama zaidi ya 62,000.
No comments:
Post a Comment