Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime
kwa
madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu
hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa
kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano
yenye lengo ya kumuondoa ofisini.
No comments:
Post a Comment