YANGA YATANGAZA UBINGWA RASMI BAADA YA KUWATANDIKA MAAFANDE WA POLISI MOROGORO
Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kuifunga
Polisi Morogoro mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, licha ya
kuwa imesaliwa na mechi kadhaa kumaliza msimu wa 2014/2015. Wafungaji wa
mabao ya Yanga leo ni Amiss Tambwe aliyefunga hat trick na Simon Msuva.
No comments:
Post a Comment