Friday, September 5, 2014

AJALI YA KUTISHA YA MABASI YAUA WATU 45 MUSOMA LEO

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika ajali hiyo.

Miili ya marehemu wa ajali hiyo baada ya kutolewa kwenye mabasi.

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara.

 .......Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…


 Baadhi ya wakazi wa Mara pamoja na wauguzi wakiangalia maiti wa ajali hiyo

 Baadhi ya wakazi wa Mara wakiwa wamekusanyika katika hospitali hiyo.

Watu takribani 45  wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya mabasi ya Mwanza Coach na j4 Express lenye namba za usajili T677 CYC lililokuwa likitokea Sirari kwenda Mwanza kugongana na basi la Mwanza Coach lenye namba za usajili T736 AWJ leo asubuhi. 

No comments:

Post a Comment