WATU 16 wamepoteza maisha huku
75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea
Mpanda kugongana uso kwa uso na basi lingine la Sabena linalofanya
safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora
jana.
Basi la basi la AM baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Sabena katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.
Kushoto ni baadhi ya miili ya abiria waliopoteza maisha katika ajali hiyo. Kulia trafiki na wananchi wakiwa eneo la ajali.
Uso kwa uso: Hivi ndivyo ajali hiyo ilivyokuwa na kuondoa uhai wa wananchi 16 na kujeruhi 75.
Habari kwa hisani ya GPL
No comments:
Post a Comment