Saturday, June 14, 2014

TAZAMA MAZISHI YA MTAYARISHAJI FILAMU WA NOLLYWOOD, AMAKA IGWE YALIYOFANYIKA JANA

Mtayarishaji filamu maarufu wa Nigeria Amaka Igwe ambaye alifariki tarehe 28 mwezi April baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa pumu hatimaye amezikwa jana.

Marehemu Amaka Igwe, 51 amezikwa kijijini kwao Ndiuche Arongizuogu katika mji wa Okigwe jimbo la Imo nchini Nigeria.

Tazama picha za mazishi yake yaliyohudhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri toka ndani na nje ya Nigeria.







Roho yake ilazwe mahali pema peponi, Amen.

No comments:

Post a Comment