Brazil
Nyakunga (kulia) ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati
ni bosi wake Goodluck Mbehale (mwenye shati la kitenge), wamekamatwa
mkoani Iringa, kwa kufanya utapeli, wakijidai wao ni Askari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amesema maaskari hao
feki, wamekuwa wakiwatapeli wakazi wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na
maeneo ya jirani.
No comments:
Post a Comment