Mzee Small enzi za uhai wake.
MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini,
Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya
Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana
usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa
matibabu.
No comments:
Post a Comment