Sunday, June 8, 2014

MISS MBAGALA 2014 APATIKANA..... TAZAMA MAPICHAZ

Miss Mbagala 2014, Amina Salim akipokea zawadi baada ya kutwaa taji hilo.

 Miss Mbagala 2014 akikabidhiwa zawadi ya DSTV.

 Majaji wakiwa kazini.

Mmoja wa washiriki akiwa jukwaani na vazi la asili.

Mwanadada Ney Lee akiimba kwa hisia Dar Live.

P The Mc akiwadatisha mashabiki.

Subira Ally ambaye ameteuliwa kuwa balozi wa TVI.

    Warembo wakitoa burudani.

MC Pamela, Benjamin na Dj Max wakiwa wakifanya yao wakati wa shindano hilo.

Mashabiki wakifuatilia mashindano.

  Miss  Mbagala 2014 Amina Salim wakati wa mtanange.

Lucy Lewis, ambaye ni mshindi namba tatu.

 Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki.

Jaji Mkuu Mpotoli Katule ambaye pia ni Meneja wa TVI akitangaza mshindi.

KWA mara ya kwanza kitongoji cha Mbagala kimejipatia mshindi katika mashindano ya kumsaka mrembo atakayewakilisha Mbagala katika mashindano ya Miss Temeke 2014. Taji hilo lilikwenda kwa mrembo Amina Salim.  

No comments:

Post a Comment