Wednesday, June 4, 2014

MWILI WA GEORGE 'TYSON' OTIENO WAAGWA LEO LEADERS CLUB

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.

 Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga mwili wa Tyson.

 Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa' (kulia) akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).

 Mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' ukiwasili Viwanja vya Leaders.

 Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye gari.



 Waombolezaji wakiwa Viwanja vya Leaders.

 Jeneza likipelekwa eneo maalum Leaders.

No comments:

Post a Comment