Monday, June 9, 2014

MUUNGWANA NI VITENDO: MHE. MWIGULU NCHEMBA ASAIDIA WALIOPATA AJALI DODOMA.....


Nikiwa njiani Kutoka Dodoma kuelekea Morogoro nimekuta ajali imetokea maeneo ya Kibaigwa,Kusimama na Kutoa Msaada wa huduma ya Kwanza kwa Majeruhi ni wajibu Wakila Mtanzania.
Ashukuriwe Mungu ajali haikusababisha Kifo Chohote. - Mwigulu Nchemba

Gari aina ya RAV4 ikiwa imepinduka katika barabara ya Dodoma Morogoro leo mchana eneo la Kibaigwa.

Mhe. Mwigulu Nchemba akishirikiana na wananchi kunyanyua gari lililopata ajali.



No comments:

Post a Comment