Makamu wa rais nchini Argentina Amado Boudou ameshtakiwa na shtaka la ufisadi.
Bwana Badou anashtumiwa kwa kutumia vibaya
mamlaka wakati alipokuwa waziri wa uchumi alipochukua umiliki wa kampuni
inayochapisha fedha za Argentina.Washukiwa wengine watana pia wameshtakiwa .
Bwana boudou kwa mara kadhaa amepinga mshtaka dhidi yake huku akifutilia mbali wito wa kujiuzlu.
Kwa sasa yuko katika ziara ya kibiashara nchini Cuba.
BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment