Monday, June 16, 2014

KILI MUSIC TOUR YA TBL YAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA SONGEA

Wakazi wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika tamasha la Kili Music Tour kwenye Uwanja wa Majimaji Songea.



Diamond Platnumz akithibitisha kwa nini alipata tuzo saba katika tuzo za Kili.



Diamond akicheza jukwaani na mpenzi wake Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu

 Mkali muziki wa wa R&B, Ben Pol akiwapa burudani mashabiki.

 Profesa Jay akitoa burudani.

 


No comments:

Post a Comment