Coutinho akiwa katika pozi.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mohammed Binda (kushoto), akiwa akiwa na Coutinho baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Msemaji wa Yanga, Baraka
Kizuguto (wa tatu kutoka kushoto) akimuongoza mchezaji huyo baada ya
kumpokea uwanjani hapo. Wengine ni mashabiki wa Yanga waliofika uwanjani
hapo kukipokea ‘kifaa hicho’.
KIUNGO mshambuliaji raia wa Brazil, Andrey Coutinho leo ametua Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam
tayari kwa kukipiga kwenye timu ya Yanga ya Dar es Salaam. Mchezaji huyo
alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Yanga akiwemo msemaji wa timu
hiyo, Baraka Kizuguto.
No comments:
Post a Comment