Bonge la Nyau akiburudisha.
Baadhi ya warembo wa Miss Dar City Center-2014.
Majaji wakifuatilia mashindano kwa makini.
Hawa ndiyo Top 5 Miss Dar City Center wakiwa jukwaani.
Hashimu Lundenga akifuatilia mwenendo wa mashindano.
Jana ilikuwa ni kinyang’anyiro cha kuwasaka warembo watakaoingia katika
Top 5 kwa ajili ya kushiriki shindano la kumpata mshindi mmoja wa Miss
Dar City Center litakalofanyika katika Viwanja vya Escape One Mei 24
mwaka huu.
No comments:
Post a Comment