Saturday, May 17, 2014

TAZAMA HAPA DIAMOND ANAVYOTESA TUZO ZA KORA!!!!!

Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platinumz ameendelea kushika chart za juu katika tuzo za Kora 2014 za huko nchini Afrika Kusini huku akiwaacha mbali wasanii wengine wakali wa Afrika, tuendelee kumpigia kura ili aweze kuibuka mshindi.

No comments:

Post a Comment