Thursday, May 8, 2014

SOMA HAPA JINSI MKALI WA BONGO MOVIE COLETHA ALIVYOWALIPUA WAKE ZA WATU.

 Msanii Koleta katika pozi la kukata na shokaaa

STAA wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amewashukia waigizaji wenzake ambao ni wake za watu na kudai kuwa wanaichafua sanaa hiyo kwa kujirahisisha kwenye ngono na wanaume wengine.

Akizungumza kwa sharti la kutowataja majina, Koleta alisema anawatambua wasanii wengi ambao ni wake za watu na hufanya mchezo huo wakiwa eneo la kutengenezea muvi (lokesheni).
“Wananikera, wamezidi kujirahisisha na kufanya uchafu. Kuna baadhi ya wake za watu…



Koleta aikwa na muigizaji mwenzake Shija

 

No comments:

Post a Comment