Thursday, May 8, 2014

SOMA ALICHOANDIKA MKALI DIAMOND PLATINUMZ KUWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER






Naamini umoja wetu sote ndiyo umewezesha me kufikia hatua hii..napenda niwashukuru mashabiki wangu wote kwa kuungana pamoja na kuendelea kunipa sapoti kubwa kama hii,naamini kabisa mwaka huu ni wetu kuishangaza Afrika,unachotakiwa kufanya,endelea kunipigia kura kwenye Kora ,kwanza search Kora Awards kisha like page yako,na kila picha yenye picha yangu,koment kwa kuandika Diamond platnumz,usitukane ama kuandika neno lolote lisilofaa.Ahsanteni sana.UMOJA WETU,USHINDI WETU


No comments:

Post a Comment