Mwili wa marehemu Nughu Lugata ulivyokutwa.
Mguu wa marehemu Nughu Lugata ukiwa umekatwa.
MAREHEMU
Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na
watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani
Simiyu.
Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu
wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
Credit to Global Publishers.
No comments:
Post a Comment