Tuesday, May 13, 2014
HAHAHAHAH KWELI DUNIANI KUNA MAMBO, JAMAA KAJIGEUZA OSAMA KUSAKA NOTI, HEBU MUONE HAPA LIVE
Sao Paolo, Brazil
Mgahawa mmoja nchini BrazilI, Rock and Roll umeamua kumtumia mtu ambaye amefanana kwa kila kitu na aliyekuwa gaidi namba moja duniani, Osama Bin Laden kama kivutio kimojawapo pindi fainali za kombe la dunia zitakapoanza.
Jamaa huyo aliyejulikana kwa jina la Ceara Francisco mpaka sasa amekuwa kivutio na ataendelea kuvutia hasa mashabiki wa timu ya England pindi watakapowasili.
Wazo la kufungua mgahawa huo na kumuweka Bin Laden feki limetokana na tukio ambalo lilijiri nchini Marekani, tarehe 9 ya mwezi wa 11 ambapo gaidi huyo alifanya shambulio kutafutwa kila pembe ya dunia.
Hata hivyo katika mgahawa huo inaelezwa zaidi ukitaka kufika unaambiwa Osama anapatikana pande hizo na unapiga naye picha kadhaa ambazo huzihifadhi kama kumbukumbu.
Labels:
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment