Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo akisikiliza wananchi katika kikao cha kutafuta suluhu ya mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Madala kitongoji cha Mwivano kata cha Chekelei ambapo amefanikiwa kuumaliza mgogoro huo.
Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo
BLOGU HII INAUNGA MKONO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA VIONGOZI MAKINI WA SERIKALI KUMALIZA MIGOGORO BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA NCHI YETU.
No comments:
Post a Comment