Friday, May 9, 2014

BREAKING NEWS: BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI, LAPINDUKA HUKO MTO WAMI ASUBUHI HII.


Basi la kampuni ya Dar Express lenye namba za usajili T580 CEP limepata ajali asubuhi hii karibu na maeneo ya mto wami, mkoa wa Pwani.


Mmoja wa majeruhi akiwa hajui la kufanya baada ya basi hilo alilokuwa akisafiria kupata ajali leo asubuhi.

Blogu hii inawapa pole majeruhi wote na kuwatakia nafuu ya haraka.

1 comment: