Mkurugenzi Msaidizi
Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Bw. Robert
Kibona akitoa mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa
Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mjini Dodoma leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano
mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini
wakifatilia mada mjini Dodoma leo.
BodiyaMikopoyaElimuyaJuunchiniimepangakuwachukuliahatuawaajiriwotenchinikwakushindwakuwasilishataarifazawahitimuwaelimuyajuuwanaodaiwanaBodihiyo.
HayoyalisemwanaMkurugenziMsaidiziUrejeshajiMikopokutokaBodiyaMikopoyaElimuyaJuuBw.
Robert
KibonaalipokuwaakitoamadakuhusuurejeshwajiwamikopoyaelimuyajuukwenyemkutanomkuuwamwakawaWakurugenziwaUtawalanaRasilimaliwatuSerikalinimjini
Dodoma leo.
“MpakasasatumewachukuliahatuajumlayawaajiriwatanoambaowameshindwakuwasilishataarifazawatumishiwaowanaodaiwanaBodiyaMikopoyaElimuyaJuu”
alisemaBw.Robert.
Alisema,mwajiriatakayeshindwakutoataarifazawahitimuwaelimuyajuukatikaBodikwawakatiatatakiwakulipafainiyashilingimilionisaba
au kutumikiakifungokisichopunguamiezi 12 au vyotekwapamoja.
Aidha,Bw. Robert alisemakuwampakasasatakribaniwaajiriwa18 wamefikishwamahakamanikwakosa la kushindwakurejeshamikopohiyo.
Bw.Robertalifafanuakuwailikufanikishazoezi la
urejeshajimikopokutokakwawadaiwa,
BodiyaMikopoyaElimuyaJuuinatungasherianamifumombalimbaliyakuwadhibitiwadaiwahao.
“Tunatengenezasheriaambazozitawazuiawadaiwawamikopoyaelimuyajuukupatahatiyakusafirianjeyanchiau
kibali cha kusafirihadiatakapowasiliananaBodi.”
Pia,alisemamhitimuatakayeshindwakulipamkopotaarifazakezitatangazwakwenyevyombovyahabarinakwenyetaasisizamikopoiliasipatehudumayoyoteyakifedha.
Naye, MsaidiziwaMkurugenziMtendajiBodiyaMikopoyaElimuyaJuu Dk. Veronica
Nyahendeamewatakawahitimuwaelimuyajuunchinikutumiaelimuwaliyonayokujiajiriwenyewebadalayakusubirikuajiriwa.
Alisemachangamotoyakurejeshamikoponikubwakwaupandewawahitimuwaelimuyajuuambaohawanakaziamahawajajiajiri.
“Changamotoiliyoponiwahitimukushindwakulipamikopohiyokutokananakuwanakipato cha chiniamakukosaajira.”
AlisemaBodiimeingiamkatabanakampunizitakazokusanyamikopokwawalionufaikanamikopohiyonakushindwakuilipa
BodiyaMikopoyaElimuyaJuuikokatikamchakatowakuelimishaummanawatendajiwakuuSerikaliniilikuhakikishawanawasilishataarifazawatumishiwaowanaodaiwamikopohiyo.
No comments:
Post a Comment