Monday, June 16, 2014

UJERUMANI YAWAGARAGAZA WAMAKONDE 4-0, RONALDO AFICHWA VIBAYA

Furaha ya ushindi: Wachezaji wa Ujerumani wakifurahia ushindi dhidi ya Ureno.

 Ndoo: Pepe akimpiga kichwa Thomas Muller aliyekuwa chini.

 Red card: Pepe akitolewa nje kwa kadi nyekundu.

 Hat-trck: Thomas Muller akitupia bao la tatu na kuipa ushindi wa bao 4-0 Ujerumani dhidi ya Ureno.

UJERUMANI imetoa kipigo cha bao 4-0 kwa Ureno katika mechi ya kundi G ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Mabao ya Ujerumani yamewekwa kimiani na Thomas Muller aliyefunga hat-trick na la nne likifungwa na Mats Hummels. Katika mechi hiyo, Pepe wa Ureno alizawadiwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa Muller.

No comments:

Post a Comment